😂Yanga twende kazi! Hakuna kombe la kuacha msimu huu!! Tulianza na Ngao ya Jamii, na hata sasa tunaendelea.
Na ikumbukwe sisi ndiyo Mabingwa Watetezi wa hili Kombe.
Nasubiri Ajibu awachomoe mwiko. Wamezoea mbele tu halafu nyuma mwiko.Saidoooooo....offtarget