Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mimi nilikuwa naona kabisa ule uchezaji wa yanga ulionesha dalili ya kukwepa kituAzam wametukosea sana wamrudishe my wangu jamani daah 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikuwa naona kabisa ule uchezaji wa yanga ulionesha dalili ya kukwepa kituAzam wametukosea sana wamrudishe my wangu jamani daah 🤣🤣
mwaka huu huna kombe kabisa. haka ndo kakombe kenuHahahaaaa. Kwa kweeli. 💃💃💃
Hizi mambo zinakera bana saa ingine ujue. 🙁
Hata kama aisee. Kiukweli penalti za leo kwa Wananchi hakuna iliyokuwa mbovu.Umesahau kuw wapigaji nao hawakuwa wazembee
Hahahaaa. 🙏🙏🙏Pole mtani wangu. Tutakutana Lupaso hapo umejitahidi kukwepa🤣
Hahahaaaa. Hapo baadae ndo mtajua hamjui.Eti timu yako ya utotoni umeanza tayari kutusagia kunguni eeh. 🤣🤣
Basi Leo mtalia mara mbili mbona.
Boti lagonga mihoni huko mwasubiriwaaah mshindi wa tatu mutachezwa kwenu darisalamaHakuna mshindi wa tatu nasi tujifungishe tuwafuate? Hawawezi kutukimbia kirahisi namna hii
mwaka huu huna kombe kabisa. haka ndo kakombe kenu
Umepita hapo kitambo tu kuna mdau anasema wameuona ukonga umepita kwa kasi sana ukielekea Gomz bado upo hewani...Mpira wa Yassin bado upo hewani kuvuka bahari ,watu wa bandarini kuweni makini na usalama wenu mda wowote kuanzia Sasa mpira unatua
Tayari ushavuka bahari, kwa hiyo watu ambao wako maeneo ya bahari waambie wako salama ila dalubini imeunasa mpira unaenda kasi sana saizi hofu ipo kwa rocket zinazopita anga za juuMpira wa Yassin bado upo hewani kuvuka bahari ,watu wa bandarini kuweni makini na usalama wenu mda wowote kuanzia Sasa mpira unatua
tunatoa tahadhari kubwa wananchi wa hayo maeneo wavae helmentsUmepita hapo kitambo tu kuna mdau anasema wameuona ukonga umepita kwa kasi sana ukielekea Gomz bado upo hewani...
tuendelee na tahadhari kuvaa helmentTayari ushavuka bahari, kwa hiyo watu ambao wako maeneo ya bahari waambie wako salama ila dalubini imeunasa mpira unaenda kasi sana saizi hofu ipo kwa rocket zinazopita anga za juu
Mzungu pori anasemaje?
Barcelona ya buzaHuyu kaze na johora wake warudi kwa kuogelea manina zao.
Hivi alipita Barcelona ya wapi huyu?