FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Umesahau kuw wapigaji nao hawakuwa wazembee
Hata kama aisee. Kiukweli penalti za leo kwa Wananchi hakuna iliyokuwa mbovu.

Na siku zote wakishapiga wale watano wa kwanza hao wengine huwa ni 50 kwa 50 kwenye kupata na kukosa hivyo Yasin simlaumu.

Mi lawama zangu leo ni kwa Kaze na yule kipa wake. 🙁
 
mwaka huu huna kombe kabisa. haka ndo kakombe kenu
2289386_2289265_14eaa34c-6bd0-49bd-bf25-7086a7fdbf59.gif
 
Mpira wa Yassin bado upo hewani kuvuka bahari ,watu wa bandarini kuweni makini na usalama wenu mda wowote kuanzia Sasa mpira unatua
Umepita hapo kitambo tu kuna mdau anasema wameuona ukonga umepita kwa kasi sana ukielekea Gomz bado upo hewani...
 
Mpira wa Yassin bado upo hewani kuvuka bahari ,watu wa bandarini kuweni makini na usalama wenu mda wowote kuanzia Sasa mpira unatua
Tayari ushavuka bahari, kwa hiyo watu ambao wako maeneo ya bahari waambie wako salama ila dalubini imeunasa mpira unaenda kasi sana saizi hofu ipo kwa rocket zinazopita anga za juu
 
Umepita hapo kitambo tu kuna mdau anasema wameuona ukonga umepita kwa kasi sana ukielekea Gomz bado upo hewani...
tunatoa tahadhari kubwa wananchi wa hayo maeneo wavae helments
 
Tayari ushavuka bahari, kwa hiyo watu ambao wako maeneo ya bahari waambie wako salama ila dalubini imeunasa mpira unaenda kasi sana saizi hofu ipo kwa rocket zinazopita anga za juu
tuendelee na tahadhari kuvaa helment
 
Lakini Manyara alisemaga kwamba washindani wao ni Azani fc.
Leo ndio nimetambua.
Mshindi wa pili na wa tatu kwenye ligi lazima wawe washindani.
 
Back
Top Bottom