Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Unajua alipo au mpaka nikupeleke anakoishi ndio uamini?Hamna aisee Bantu Lady hawezi kufanya usaliti wa aina hiyo
Mi mwenyewe naanza kupata wasiwasi.
WapiRefa ameharibu mechi
Kwenye ukweli tuseme tu..
Guide kashinda goli gumu sana πππ
Mchongo upi mjombaaa??Namna hii, mkitolewaga na Mamelod msiwe mnalia lia...
Ushindi wa mchongo mchongo Lzm mpasuke mkikutana na timu kama Mamelod
Kwa tafsiri ya haraka hapa unasema "mwezi watatu unatengenezwa"March fixing
Mwezi wa 3 fixing, mjomba umetishaMarch fixing
Makolo wamehamia Uzi wa Yanga?Achana na Mechi za mbeleko, angalia boli La Fainali hapa
Acheni zenu.Namna hii, mkitolewaga na Mamelod msiwe mnalia lia...
Ushindi wa mchongo mchongo Lzm mpasuke mkikutana na timu kama Mamelod
Thread imeanzishwa jana saa 6 usiku, siyo sawa.Hapa bro umezingua,
Hizi updates ni nzuri mno kwa watu ambao tupo sites ambazo ni ngumu kujua nini kinaendelea,
Acha hizo mkuu usiwakatishe tamaa wadau wetu wa nguvu
Fainali ya nini?Achana na Mechi za mbeleko, angalia boli La Fainali hapa
Kombe la ng'ombe mzeeππππππFainali ya nini?