FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Ukiona mtu analialia humu mbeleko mbeleko hata kwake anapigwa makofi na mke wake, kama haujui mpira Bora tuu ukae kimya.. ulitaka alivyomvuta jezi Aziz apewe Card ya harusi?? Takataka wahedi
 
Namna hii, mkitolewaga na Mamelod msiwe mnalia lia...
Ushindi wa mchongo mchongo Lzm mpasuke mkikutana na timu kama Mamelod
Acheni zenu.
Kisheria pale red card ilistahili.
Unamvutaje mtu jezi namna ile!?
Au hukutizama mpira wewe?
 
Hapa bro umezingua,
Hizi updates ni nzuri mno kwa watu ambao tupo sites ambazo ni ngumu kujua nini kinaendelea,

Acha hizo mkuu usiwakatishe tamaa wadau wetu wa nguvu
Thread imeanzishwa jana saa 6 usiku, siyo sawa.
 
Naona kuna wapuuzi wanataka kusema refa kaipendelea Yanga kisa kutoa kadi nyekundu kwa coastal union.
Kadi nyekundu coastal union walistahili kwa beki wa mwisho kumvuta jezi Aziz Ki.
Kwa anayejua mpira na anayefahamu mpira ile kadi nyekundu ni ya halali.
Huwezi ukamvuta jezi mchezaji anaeenda kufunga halafu uachwe.

Ila hao simba walisahau walicheza na Mashujaa wakiwa pungufu uwanjani na wakashindwa kuwatoa katika kombe la shirikisho CRDB.
 
Back
Top Bottom