Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule anastahili kuwa kipa wa kusaidiana na Diarra pale Yanga.Ila kipa wa Coastal ni mzuri.
Jamaa kama anajua vile!!!Kwenye ukweli tuseme tu..
Guide kashinda goli gumu sana 👏👏👏
Mamalady na amphibian wa sauzi mwenye mpunga Ila nyie amphibians wa bongo loh mnatia huruma kwa njaa 😂😂Ubuntu bothoo
Sawa peleka malalamiko fifaMarch fixing
TFF wameipendelea Yanga🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
View attachment 2975257
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union
📆 27.04.2024
🏟 Azam Complex - Chamanzi
🕖 12:00 Jioni.
Tukutane hapa kwa updates
#Daimambelenyumamwiko#
Kikosi cha Yanga kinachoanza.
View attachment 2975395
Kikosi cha Coast Union Kinachoanza
View attachment 2975400
Updates...
1'
Yanga wanafanya Shambulizi kali,
Guede anakosa kosa goli hapa
5'
Mpira unarushwa kuelekea kwenye goli la Yanga.
Coastal wanapata kona, Kibabage anatoa
Inakuwa kona ya pili kwa Coastal
9'
Yanga wanapata Free kick baada ya Azizi kuchezewa rafu.
Anaipiga inaishia kwenye mikono ya Kipa.
11'
Free Kick nyingine wanapata Yanga.
Aziz nyuma ya mpira.
Guede anaupiga Kipa anadaka
0-0
18'
Yanga wanapata kona Ya pili.
Haileti madhara.
20'
Free kick anaipiga Aziz inakuwa goal kick.
22'
Yanga wanafanya Shambulizi kali sana.
Ila linaokolewa na kipa.
26'
0-0
Game On kwa utawala wa Yanga.
28'
Yanga wanapata Free kick.
Nje kidogo ya 18
Diarra anapewa kadi ya njano.
Amekuja kumlalamikia Refa.
Inapigwa free kick kali, kipa anaipangusa.
Inakuwa kona haileti madhara.
31'
Yanga wanapata kona, inapigwa haileti impact yoyote kwa Coastal
36'
Linatokea Shambulizi kali sana Kwenye lango la Coastal lakini wanafanikiwa kuliokoa.
38'
Simfuko anapata Yellow kadi kwa kumchezea rafu Mudathir
40'
Game On...
0-0.
44'
Mpira unaendelea.
Wanarusha Coastal Union sasa.
45'
Additional ni 3'
Yanga wanafanya Shambulizi hafifu kidogo kwa Coastal inakuwa goal kick
45+2'
Yanga wanapata kona haleti madhara.
HT
Yanga 0- 0 Coastal Union.
Updates ya Kipindi cha Pili.
___________________
Coastal Union wanaanza na Mabadiliko.
Wachezaji wa Tatu.
46'
Kona kwa Yanga.
Goalkeeper wa Coastal anaokoa Shambulizi kali sana hapa.
50'
Yanga wanapata Yanga, haileti shida kwa Coastal.
54'
Mpira umesimama Kidogo, mchezaji wa Coastal Union yuko chini.
57'
Yanga wanapata kona,inakuwa chupu chupu
Goal kick...
0-0.
60'
Yanga wanapata kona, haileti madhara kwa Coastal.
62'
Yanga wanapata Free kick.
Anapiga Musonda inakwenda juuu.
64'
Yanga wanapata kona inapigwa haileti madhara kwa Coastal.
67'
Game On
0-0
70'
Red Card kwa Coastal Union.
clear red card
Paul Kasindi
Free kick inapigwa inababatizwa inakuwa kona .
Kona inapigwa haileti madhara.
76'
Guedeeeeeee...
Goaaaaaaaaalllll
1-0
87'
Yanga wanafanya Sub.
Yao Out
Kibwana Inn
Skudu Inn
Musonda Out.
90'
Additional 6'
Sub Yanga,
Aziz Out
Sure boy Inn
90+4'
Shehaniiiiiii kipa anatoaa.
Balaa sana pale.
FT
Yanga 1-0 Coastal Union
Ni kweli peleka malalamiko fifa.Nibebee nibebee nibebee.......
Unichukue niwe SALAMAAAAAAA...
Kuna timu leo imebebwa? Imetokea nini kwani?Nibebee nibebee nibebee.......
Unichukue niwe SALAMAAAAAAA...
Amemzidi goli ngapi Freddy?Huyu guede ni goal machine
Utopolo 7-2 Masandakolozidad [emoji28]Kuna timu leo imebebwa? Imetokea nini kwani?
Hamna aisee Bantu Lady hawezi kufanya usaliti wa aina hiyoHuyo alishasepa siku mingi sana yupo unyamani kwa sasa.
Hapa bro umezingua,Huwa mnalipwa pesa kuanzisha hizi thread?
Mi mwenyewe naanza kupata wasiwasi.Kulikoni PACOME mbona imekua kimya sana??
Kweli Simba fans ni mbumbumbuu..,yaani ww umepigwa nje ndani ya Yanga alafu unapata wapi guts ya kuuandika huu uupuuziTuachane na hizi mechi za mbeleko,Sasa Kujeni Kuona Soka La Fainali
Haya mambeleko sometimes yanatuchosa