FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Hivi vitoto vya coastal union vinajifanya kuikamia sana yanga
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
View attachment 2975257

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union
📆 27.04.2024
🏟 Azam Complex - Chamanzi
🕖 12:00 Jioni.

Tukutane hapa kwa updates

#Daimambelenyumamwiko#

Kikosi cha Yanga kinachoanza.
View attachment 2975395
Kikosi cha Coast Union Kinachoanza
View attachment 2975400

Updates...
1'
Yanga wanafanya Shambulizi kali,
Guede anakosa kosa goli hapa

5'
Mpira unarushwa kuelekea kwenye goli la Yanga.
Coastal wanapata kona, Kibabage anatoa
Inakuwa kona ya pili kwa Coastal

9'
Yanga wanapata Free kick baada ya Azizi kuchezewa rafu.
Anaipiga inaishia kwenye mikono ya Kipa.

11'
Free Kick nyingine wanapata Yanga.
Aziz nyuma ya mpira.
Guede anaupiga Kipa anadaka
0-0

18'
Yanga wanapata kona Ya pili.
Haileti madhara.

20'
Free kick anaipiga Aziz inakuwa goal kick.

22'
Yanga wanafanya Shambulizi kali sana.
Ila linaokolewa na kipa.

26'
0-0
Game On kwa utawala wa Yanga.

28'
Yanga wanapata Free kick.
Nje kidogo ya 18

Diarra anapewa kadi ya njano.
Amekuja kumlalamikia Refa.
Inapigwa free kick kali, kipa anaipangusa.
Inakuwa kona haileti madhara.

31'
Yanga wanapata kona, inapigwa haileti impact yoyote kwa Coastal

36'
Linatokea Shambulizi kali sana Kwenye lango la Coastal lakini wanafanikiwa kuliokoa.

38'
Simfuko anapata Yellow kadi kwa kumchezea rafu Mudathir

40'
Game On...
0-0.

44'
Mpira unaendelea.
Wanarusha Coastal Union sasa.

45'
Additional ni 3'
Yanga wanafanya Shambulizi hafifu kidogo kwa Coastal inakuwa goal kick

45+2'
Yanga wanapata kona haleti madhara.

HT
Yanga 0- 0 Coastal Union.

Updates ya Kipindi cha Pili.
___________________
Coastal Union wanaanza na Mabadiliko.
Wachezaji wa Tatu.

46'
Kona kwa Yanga.
Goalkeeper wa Coastal anaokoa Shambulizi kali sana hapa.

50'
Yanga wanapata Yanga, haileti shida kwa Coastal.

54'
Mpira umesimama Kidogo, mchezaji wa Coastal Union yuko chini.

57'
Yanga wanapata kona,inakuwa chupu chupu
Goal kick...
0-0.

60'
Yanga wanapata kona, haileti madhara kwa Coastal.

62'
Yanga wanapata Free kick.
Anapiga Musonda inakwenda juuu.

64'
Yanga wanapata kona inapigwa haileti madhara kwa Coastal.

67'
Game On
0-0

70'
Red Card kwa Coastal Union.
clear red card
Paul Kasindi
Free kick inapigwa inababatizwa inakuwa kona .
Kona inapigwa haileti madhara.

76'
Guedeeeeeee...
Goaaaaaaaaalllll
1-0

87'
Yanga wanafanya Sub.
Yao Out
Kibwana Inn

Skudu Inn
Musonda Out.

90'
Additional 6'
Sub Yanga,
Aziz Out
Sure boy Inn

90+4'
Shehaniiiiiii kipa anatoaa.
Balaa sana pale.

FT
Yanga 1-0 Coastal Union
TFF wameipendelea Yanga
 
Tuachane na hizi mechi za mbeleko,Sasa Kujeni Kuona Soka La Fainali

Haya mambeleko sometimes yanatuchosa
 
Wachambuzi wa Azam wanasema Ile ni clear Red card ♦️
Lakini wamesema yule beki hakuwa mtu wa mwisho.......
#may be
 
Tuachane na hizi mechi za mbeleko,Sasa Kujeni Kuona Soka La Fainali

Haya mambeleko sometimes yanatuchosa
Kweli Simba fans ni mbumbumbuu..,yaani ww umepigwa nje ndani ya Yanga alafu unapata wapi guts ya kuuandika huu uupuuzi
 
Back
Top Bottom