Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Zaidi ya zile 4 za hujuma nusu fainali umetufunga lini pamoja na ubovu wetu miaka yote hyo minne? Eti mmetubomoa sana mechi ngapi? Ni FA tu ile nusu fainali wasenge tshishimbi na morison walituuza na ile ya kigoma thadeo nitajie hzo mechi mlizotubomoa sana,mara ya mwisho kutufunga sisi kwenye ligi ni lini? Mm nakuhesabia goli 1 Morrison,goli 1 Mauya,goli 1 Mayele,goli 1 Fey yaani tunadondosha mojamojaNa sisi mkiwa wabovu tumeshawatwanga sana tena zakutosha sio zenu kama wagonjwa wa kisukari