DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Hatimaye, hayawi hayawi yamekuwa! Leo, Septemba 16, 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, ambao utaashiria kuanza rasmi pazia la msimu mpya wa 2025/2026.
Yanga wamekuwa kwenye kiwango bora, wakishinda michezo mitano mfululizo dhidi ya Simba. Hata hivyo, kwa sababu hii ni dabi, kila kitu kinaweza kutokea ndani ya dakika 90. Swali kubwa ni je, Simba watakubali kuwa kibonde kwa mara nyingine tena, kwani wakipoteza leo itakuwa ni mara ya sita mfululizo dhidi ya watani wao?
Kumbuka, Yanga ndiyo bingwa mtetezi wa Ngao ya Jamii, na leo wanaingia dimbani wakiwa na hamasa ya kutetea taji hilo.
Kariakoo Derby mechi 5 za mwisho
🗓️ Juni 25, 2025
🟢 Yanga 2-0 Simba 🔴
🗓️ Oktoba 19, 2024
🔴 Simba 0-1 Yanga 🟢
🗓️ August 8, 2024
🟢 Yanga 1-0 Simba 🔴
🗓️ April 20, 2024
🟢 Yanga 2-1 Simba 🔴
🗓️ Novemba 5, 2023
🔴 Simba 1-5 Yanga 🟢
Karibuni kwa Updates kama hujaelewa basi mpira ni hesabu pia
Waamuzi wa mchezo
Kocha wa Yanga Romain Folz (Ufaransa).
Kocha wa Simba Fadlu Davis (Afrika ya Kusini).
Hali ilivyo kwenye Uwanja wa Mkapa muda huu kabla ya Mchezo wa Ngao ya Jamii kuanza kati ya Simba SC na Yanga SC
Nyota wa Simba SC, Mpanzu anaona muda wa mechi haufiki tu.
Kikosi cha Simba SC kimewasili Uwanjani tayari kwa Mechi
Kikosi cha Simba dhidi ya Yanga
Kikosi cha Yanga dhidi ya Simba