FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

1757916543874.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii game itamalizwa na jinsi ubora wa viungo utavyokuwa. Defense na washambuliaji ubora wao unaanzia hapo. Binafsi nasubiri draft la Fadlu kwenye kiungo na mfumo then nitajua ni maumivu au Uto anapigwa. Please note, Uto wao ni bora kila eneo, karata za Fadlu ndio zitaamua game.
 
Habib Thalantha bin thifuli
يزينثهثخمؤنميمثمsimba 3نينيننمثثمخuto 0🐸🐸🐸
 
Wenzenu walikua wakifanya mazoezi kwa juhudi nyie mnashindana kuongelea kwenye swimming pool.
Leo mtavuna mlichopanda.
 
Leo kuna penati wachezaji wa Simba watachomesha ili lawama zianguke kwa Arajiga.
 
Back
Top Bottom