Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,841
- 3,331
Sawa endelea kuogesha na kuchambisha vizee vya kizungu wanapojinyea !Naitwa Elikana Muturungi Ngwabe kutoka Lake street, Ontario, USA. Naitakia ushindi Yanga
Sawa endelea kuogesha na kuchambisha vizee vya kizungu wanapojinyea !Naitwa Elikana Muturungi Ngwabe kutoka Lake street, Ontario, USA. Naitakia ushindi Yanga
Mh kikosi duh tabu tubu, ndio shida ya kuwa na kocha mgeniAndambwile [emoji26]
Kila LAKHELI Simba 🦁Hawawezi kufungwa mara 6 mfululizo. Hayo ni maagizo toka kwa Mama abdul.
Aisome min -me , kaka Leo na deals ya pesa hapa nataka nitoke ILALA niende chanika then nirudi ILALA...Ngoja nipige japo konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaaUyu k*ma ana ongea nini apa
😂Hao waamuzi mbona kama wamesha chukua ela za yule jamaa muuza magodoro.
Wangese sanaAzam tv mmetukosea kuweka speech ya mwenyekiti wa ccm mtuombe radhi watazamaji wa mpira
Ile ni Sunday league.Kila LAKHELI Simba 🦁
NB. Buyern Munich wamewai kuchukua ubingwa mara 11 non stop kwaio tuwe na akiba ya maneno
Kaongea kama Rais.Azam tv mmetukosea kuweka speech ya mwenyekiti wa ccm mtuombe radhi watazamaji wa mpira
Hapa alianzi arena watu wote wamezomea walijua mwenye banda kabadili chanelWangese sana