FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Uzi uko slow nao,Poor little thimba mtapigika mpaka karia ajiuzulu. Haya mapato ya ngao karia atayala huku hana appetite. #YangaBingwa#
uzi umepoa kwa vile wale mashabiki oya oya,makapuku, mbumbumbu hawajalipia VPN hivyo jf ndo ilitakiwa iwe hivi iwe na watuwastaalabu.
 
Kipindi Cha kifungo nakitumia kwenye ujinga kidogo , soon narudi kwenye ID ndani yawezi ujao In Shaa Allaah.

Nilitaka kutest nikibadilisha jina itaSound vipi.
je akitokea mtu mwingine akajiita adriz kabla wewe haujalirudia jina itakuwaje si utakuwa umepoteza id yako ya muda wote?
 
je akitokea mtu mwingine akajiita adriz kabla wewe haujalirudia jina itakuwaje si utakuwa umepoteza id yako ya muda wote?
Kweli kabisa nimeyumba , sitorudia tena huu ujinga .

Nishafanya mpango wa kurudisha ID ya gu
 
Back
Top Bottom