FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Mara Sita mtu anakojozwa😂
20250916_194004.jpg
 
azam walionyesha marudio boss ama nao hawajui kitu
Walionesha marudio kisha hapo hapo waka tafsiri na sheria kuwa wakati Pacome anaucheza mpira hakuwa katika offside position. Max alipoungilia mchezo ndipo ilipoua offside ya Pacome kwavile Max hakuwa katika eneo la kuotea
 
Mkuu jina la I'd yako umelirefusha Sana kwanini usingebaki na lile lile Adriz
Kipindi Cha kifungo nakitumia kwenye ujinga kidogo , soon narudi kwenye ID ndani yawezi ujao In Shaa Allaah.

Nilitaka kutest nikibadilisha jina itaSound vipi.
 
Back
Top Bottom