Mwisho wa siku tarehe 3 wakasepa 😂😂Msimu uliopita ni hivihivi mlisema tumefungwa ila tuna timu nzuri! 😂😂😂
Nipo Lazizi Wanguuu nilikuwa Nakuwekea Mazingira Mazuri . Ila kila siku lazima niingie huku jukwaani kupiga Doria kali kwa wanaokumendea na kutaka Kugusa Mboni yangu. Kiukweli nitajeruhi mtu kwa ajili yako Mwaka huu. Nisingependa mtu acheze na roho yangu. Wewe ndiye Tabasamu langu na uliyeushika Moyo Wangu wote .Siku 2 hizi ulikua huonekani, ulikua wapi?
Hamkosi sababu, walikuja na mkafungwa vile vile.Mangungu kafafanua vizuri sana
Tunataka marefa kutoka nje
Wamuingize Mpanzu na Janshalewa.5imba wafanye nini kipindi cha tatu?
Yametimia 🙌TULIENI VIJANA. HII MATCH YANGA TUNASHINDA BILA SHIDA. MBONA MNAPANIKI KIBWEGE? YANGA TUNASHINDA HII MATCH. MTAKUJA NIAMBIA HAPA. MKUMBUKE KURUSHIA LIKES HII COMMENT. MAANA HAMCHELEWI KUNISAHAU. YANGA TUNAMFUNGA SIMBA KAMA KAWA KAMA DAWA.
Kasemaje? Kutoka nje waje kufanya nini?Mangungu kafafanua vizuri sana
Tunataka marefa kutoka nje
Yametimia 🙌
Yaani wewe ni mbeaWeee.
Hahahaaa. Hivi kuna mwanamke ambaye sio mmbeya we Tiss.Yaani wewe ni mbea
AiseeSimba anabeba ndoo hii, anayebisha aweke buku me naweka laki njoo inbox
Mmechanganyikiwa sio bure, kosa lake ni lipi? Mnasumbua watu bure tu mmeletewa waamuzi kutoka nje na bado mnafungwa fungwa tuHivi hakuna namna Arajiga atafutwe kila kona achezeshewe kipigo?