FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Wakimfukuza watakuwa akili Hawana Simba wanacheza Mpira mzuri sana sema tu ubora wa diara langoni ndio ume wanyima ushindi

Pia jambo lingine Kuna wakati wanakosa umakini katika kumalizia sehemu ya ufungaji
Wameonekana kucheza mpira mzuri kwavile kocha wa Yanga ni mgeni na timu. Advantage ilikuwa kwake Fadlu kushinda hii mechi
 
Unaweza ukakuta hiki sio kiwango chao wamekamia kama ilivyokuwa kwa Arsenal na Man Utd then sasa hivi kiwango cha Man kinaonekana,baada ya mechi tano tutaona maji na mafuta. Ila kama kawa ,bado mara moja tutimize mara saba mfululizo.
 
Back
Top Bottom