Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Huyu apewe mkataba wa kudumu.Huyu rushine Simba wamepata beki
Huyu apewe mkataba wa kudumu.Huyu rushine Simba wamepata beki
Huyu mwamba hafai🙌Sasa Jini 👹 linaingia... Celestine Ecua.
Nipo naenda chanika hapa ni huzunii...Simba yangu kunani paleeHalafu wanalalamika kwanini Rostam Aziz, kikwete ni Yanga😂
😂😂😂Tukisema 5imba ni mwembe wa uwani muwe mnakubali. 😂😂
Kwahiyo simba itakuwa ya kupigwa tu na yanga miaka yote ya sasa?
Hapana. Ila mpaka kufikia leo, tumenyanyasika haswa.Kwahiyo simba itakuwa ya kupigwa tu na yanga miaka yote ya sasa?
Kipofu kaona
Hahaha, anawaiga waarabu.Ila Diarra ni kipa msenge sana. Mechi meishika, sasa anajilaza laza nini?
Mpaka Maghayo The Mongolian Savage arudi bongo kuisaidia timu yake.Simba akishindwa kuifunga Yanga hii ya leo sidhani kama ataifunga tena.
Kimoja nacho kinatia mimba!Ngapi ngapi huko wazee
Sisi 0- 1 Wao.Ngapi ngapi huko wazee