hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Sijui anampendea nini?Kocha toa Boka mpaka alete maafa ya kadi nyekundu
Sijui anampendea nini?Kocha toa Boka mpaka alete maafa ya kadi nyekundu
Nlikua nakutafuta mama muhasibu😂Haya haya hayaaaaa.
Labda kwake tokeo linasoma kolo 1 Yanga 0.Itakuwa anasikiliza mpira kwenye Redio huyo
Mke wetu! Kilichobaki ni kukuletea mke mwenzioHivi ni lini na sisi Simba tutashangilia kuwafunga utopolo? Kila siku sisi tu!
Ule uzi wa mhasibu ndio umekufa?Nlikua nakutafuta mama muhasibu😂
Hahahahaa. Nipo.Nlikua nakutafuta mama muhasibu😂
Weee.Mimi sio mchezaji
Tumewashindwa. Mara ya 6 mfululizo si bahati mbaya ni kwamba hatuwawezi.Hivi ni lini na sisi Simba tutashangilia kuwafunga utopolo? Kila siku sisi tu!
Kwa hiyo sisi tutakuwa ndio bimkubwa?Mke wetu! Kilichobaki ni kukuletea mke mwenzio
😂😂😂 kabisa rafiki imeshaisha habari yao. 😂😂Kwishaaaaaaa habari yao
Ndio ila nitaendelea kukupenda mke wangu.Kwa hiyo sisi tutakuwa ndio bimkubwa?
Hapa nakubaliana nawe mkuu. Kinachoniuma wakati sisi tukiwa kwenye ubora wetu hatukuwahi kushinda mechi nyingi hivi za derby. Utopolo walikuwa wanakazaTumewashindwa. Mara ya 6 mfululizo si bahati mbaya ni kwamba hatuwawezi.
Kweli, nadhani watafute mtani mwingine tu. Sisi tushawashindwa. Wawajaribu Singida au Azam.Hapa nakubaliana nawe mkuu. Kinachoniuma wakati sisi tukiwa kwenye ubora wetu hatukuwahi kushinda mechi nyingi hivi za derby. Utopolo walikuwa wanakaza