FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

IMG-20250916-WA0001~2.jpg
 
Wameonekana kucheza mpira mzuri kwavile kocha wa Yanga ni mgeni na timu. Advantage ilikuwa kwake Fadlu kushinda hii mechi
Yanga Wana paswa kukifanyia marekebisho kikosi Chao ,

Uko sahihi lakini uwezo wa kocha mzuri mbona Huwa una onekana tu tangu Awali , umemsahau yule coach wa Yanga Aliyefukuzwa Kwa utovu wa nidhamu Kwa kushtumiwa kwenda club na wachezaji !? Alipo kuja tu Mpira aliokuwa anaifundisha Yanga watu waliona uwezo wake at first match
 
Una wachezaji wako wanatoka kambini siku moja kabla ya mchezo wanaenda kununua mashati kwenye duka la mchezaji wa timu pinzani huku wanacheza nyimbo za kuisuta timu yao, halafu unategemea kuwafunga.

Una wachezaji karibia watano uwanjani ambao hawana uwezo wa kutoa pasi ya uhakika halafu unategemea kuifunga Yanga?

Unapata nafasi mbili wewe na golikipa na zote unakosa halafu unategemea kuifunga Yanga?
 
Yanga mnacheza Mpira wa hovyo sana msipo fanya reshuffle ya kikosi chenu this season mtaumbuka

Second mmefanya makosa sana kumuachia AUCHO

Poor performance sijapenda
Lazima ujue mechi ya fainali ni Moja tu, unachotakiwa ushinde haijalishi umechezaje.
Kocha ana wachezaji wapya, Yeye mwenyewe mpya, Mechi Ina presha kubwa,hakuitaji kucheza vizuri zaidi ya kushinda
 
Yanga Wana paswa kukifanyia marekebisho kikosi Chao ,

Uko sahihi lakini uwezo wa kocha mzuri mbona Huwa una onekana tu tangu Awali , umemsahau yule coach wa Yanga Aliyefukuzwa Kwa utovu wa nidhamu Kwa kushtumiwa kwenda club na wachezaji !? Alipo kuja tu Mpira aliokuwa anaifundisha Yanga watu waliona uwezo wake at first match
Ni mgeni huyu kocha anahitaji kujua wachezaji wake wote na ubora na madhaifu yao. Sijasema mbaya ni mgeni hivyo anahitaji muda mpaka timu ikae sawa, tofauti na Fadlu yeye msimu wake wa pili huu hivyo alikuwa ndiye mwenye advantage kubwa. Kufungwa na kila kocha anayekuja Yanga ni kwamba kakosa muarobaini kimbinu
 
Hamna kocha hapo ukoloni.

Ingekuwa Yanga angekuwa ameshatimuliwa.
 
I see, hi
View attachment 3473510

Una wachezaji wako wanatoka kambini siku moja kabla ya mchezo wanaenda kununua mashati kwenye duka la mchezaji wa timu pinzani huku wanacheza nyimbo za kuisuta timu yao, halafu unategemea kuwafunga.

Una wachezaji karibia watano uwanjani ambao hawana uwezo wa kutoa pasi ya uhakika halafu unategemea kuifunga Yanga?

Unapata nafasi mbili wewe na golikipa na zote unakosa halafu unategemea kuifunga Yanga?
Hakika hii haina afya kwa Simba. Kwa nini wasichukuliwe hatua hawa vijana?
 
Back
Top Bottom