Mchez wako pendwaDiara leo angekua mwepesi yungekuua tushakalia magoli.
Mchez wako pendwa
Yaani hapa shida ni kubadilisha makocha kila siku! Tungeendelea na yule Miloud Hamdi, leo ingekuwa ni kicheko tu. Sasa ameajiriwa kocha mpya! Hata wachezaji wake hawajui! Hapa tunabahatisha tu kupata matokeo.Timu Leo performance mbaya sana kiungo hakijatulia , Dube na Bokq na wao mapepe.
Aiseee De Reuck ni mtu kazi haswaaa.Sema huyu msouth Simba wamepata mtu
Huyu beki ni mzuri. Ni vile tu alikuwa na changamoto ya majeraha. Ila ana utulivu wa hali ya juu sana.Sema huyu msouth Simba wamepata mtu
Hata kubadilisha wachezaji! Kwani Guede alikua na shida gani?Yaani hapa shida ni kubadilisha makocha kila siku! Tungeendelea na yule Miloud Hamdi, leo ingekuwa ni kicheko tu. Sasa ameajiriwa kocha mpya! Hata wachezaji wake hawajui! Hapa tunabahatisha tu kupata matokeo.
Kikosi ni kibaya kwa ujumla. Dube, Boka, Mudathir, Andambwile na Nzengeli wanazingua pakubwa lakini mimi lawama zangu kwa kocha sababu hapa sijajua mbinu zake, yani ni almost wachezaji wanatumia uwezo wao wenyewe kucheza hii mechiTimu Leo performance mbaya sana kiungo hakijatulia , Dube na Bokq na wao mapepe.
Muda badoViongozi wa Yanga wamepuyanga sana kuachana na Khalid Aucho halafu mbadala wake kuwa Aziz Andambwile! Maana huyo Bala Conte aliyesajiliwa hata haonekani kwenye kikosi cha kwanza! Halafu kwenye hii mechi,Celestine Ecua alitakiwa kuanza.
Kiufupi leo timu haijatulia kabisa kwenye kiungo cha kati.
Hiki kitu nilikitarajia kitokee. Timu ina wachezaji wengi wazuri. Changamoto ipo kwa mwalimu mgeni kuwapanga vizuri hao wachezaji ili wampe matokeo!Kikosi ni kibaya kwa ujumla. Dube, Boka, Mudathir, Andambwile na Nzengeli wanazingua pakubwa lakini mimi lawama zangu kwa kocha sababu hapa sijajua mbinu zake, yani ni almost wachezaji wanatumia uwezo wao wenyewe kucheza hii mechi
Sitetei kakaHiki kitu nilikitarajia kitokee. Timu ina wachezaji wengi wazuri. Changamoto ipo kwa mwalimu mgeni kuwapanga vizuri hao wachezaji ili wampe matokeo!
Wenzetu wa simba ahueni kocha wao anaendelea pale alipoishia msimu uliopita. Sijajua ni kwa nini Yanga waliachana na Miloud Hamdi. Ndani ya muda mfupi, alifiti vizuri kwenye timu.
Hapa kocha afanye tu mabadiliko. Ndani ya hizi dakika 45, simba imecheza vizuri kuliko Yanga. Na ni ukweli mchungu. Kuna wachezaji wasiopungua wanne wanatakiwa kufanyiwa sub za lazima.Muda bado