FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Yaani hapa shida ni kubadilisha makocha kila siku! Tungeendelea na yule Miloud Hamdi, leo ingekuwa ni kicheko tu. Sasa ameajiriwa kocha mpya! Hata wachezaji wake hawajui! Hapa tunabahatisha tu kupata matokeo.
Hata kubadilisha wachezaji! Kwani Guede alikua na shida gani?
 
Timu Leo performance mbaya sana kiungo hakijatulia , Dube na Bokq na wao mapepe.
Kikosi ni kibaya kwa ujumla. Dube, Boka, Mudathir, Andambwile na Nzengeli wanazingua pakubwa lakini mimi lawama zangu kwa kocha sababu hapa sijajua mbinu zake, yani ni almost wachezaji wanatumia uwezo wao wenyewe kucheza hii mechi
 
Muda bado
 
Hiki kitu nilikitarajia kitokee. Timu ina wachezaji wengi wazuri. Changamoto ipo kwa mwalimu mgeni kuwapanga vizuri hao wachezaji ili wampe matokeo!

Wenzetu wa simba ahueni kocha wao anaendelea pale alipoishia msimu uliopita. Sijajua ni kwa nini Yanga waliachana na Miloud Hamdi. Ndani ya muda mfupi, alifiti vizuri kwenye timu.
 
Sitetei kaka
Ila mpira ni pesa
Huenda walifikia hatua hiyo baada ya kutajiwa hela nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…