FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Timu na wachezaji ni wakubwa kuliko Cv na ubora wa kocha dadeki 😹😹
 
Yaani hapa shida ni kubadilisha makocha kila siku! Tungeendelea na yule Miloud Hamdi, leo ingekuwa ni kicheko tu. Sasa ameajiriwa kocha mpya! Hata wachezaji wake hawajui! Hapa tunabahatisha tu kupata matokeo.
Kwa wachezaji waliopo Yanga, angekuwa yule Milod angeshaimaliza mechi mapema tu. Huyu kocha sijui ndio kutokujua wachezaji ama ndio kufanya rotation kwavile ana mechi tarehe 19 ya klabu bingwa
 
Ugeni sio tatizo lazima tuseme ukweli ulio wazi, ni kwamba huyu kocha hana uwezo.
Mechi na bandari hatukutengeneza nafasi, hata ile na warwanda wale ilikuwa uwezo wa wachezaji tu na leo tena naona tunacheza kama tulivyocheza na bandari.

hadi sasa sijaona style of play ya huyu kocha. Gamond na Ramovich mechi zao za mwanzo tu watu tulishajua kocha anataka nini uwanjani.
 
Yanga wapige hesabu zao vizuri, mechi ya leo na ile ya ijumaa inaweza kuharibu msimu wao.
 
Tuonyeshe na cheti Cha ukocha mkuu
 
Yaani hapa shida ni kubadilisha makocha kila siku! Tungeendelea na yule Miloud Hamdi, leo ingekuwa ni kicheko tu. Sasa ameajiriwa kocha mpya! Hata wachezaji wake hawajui! Hapa tunabahatisha tu kupata matokeo.
Hakika sidhani kama huyu atadumu
 
Kocha wa Yanga katukosea sana
Hili jambo nilitarajia litatokea. Kwa aina ya wachezaji wazuri waliojazana kwenye kikosi cha Yanga, kilihitaji kocha mzoefu. Na siyo huyu dogo Romain Folz.

Leo timu ikikosa matokeo, nadhani yeye ndiye atakayebeba dhamana. Kwanza kipindi cha pili aanze na Boka, halafu nafasi yake ichukuliwe na Zimbwe Jr. Ecua, Boyeli, Mzize, na yule kiungo mwingine mpya Kouma anatakiwa aingie.
 
Hapa Kuna kila dalili uto mkaenda kwenye tawi lenu la singida bs kuomba msaada kama kawaida yenu😂
 
Wachezaji wazuri wapo nje ndani anatuingizia watu wanarukaruka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…