FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Azizi Ki alianza kutafuta sababu mara ajishike kichwa kama ishara ya kuumia

Hiyo yote ni mazingira ya kukwepa lawama ili baadaye tuseme alikuwa hayupo vizuri.

Max leo nimemuona kwenye lineup tu, uwanjani sijamuona.

Kuna baadhi ya wachezaji ukisema umsubirie commentator awataje majina utajikuta mpaka mpira unaisha hujamsikia.
 
Una matatizo ya Akili mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…