ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mkuu unaongea kishabiki......Azizi Ki alianza kutafuta sababu mara ajishike kichwa kama ishara ya kuumia
Hiyo yote ni mazingira ya kukwepa lawama ili baadaye tuseme alikuwa hayupo vizuri.
Max leo nimemuona kwenye lineup tu, uwanjani sijamuona.
Kuna baadhi ya wachezaji ukisema umsubirie commentator awataje majina utajikuta mpaka mpira unaisha hujamsikia.
tulia uone soka Simba mna cha kujifunza kutoka Jangwani
usichukie lkn