FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Azizi Ki alianza kutafuta sababu mara ajishike kichwa kama ishara ya kuumia

Hiyo yote ni mazingira ya kukwepa lawama ili baadaye tuseme alikuwa hayupo vizuri.

Max leo nimemuona kwenye lineup tu, uwanjani sijamuona.

Kuna baadhi ya wachezaji ukisema umsubirie commentator awataje majina utajikuta mpaka mpira unaisha hujamsikia.
Mkuu unaongea kishabiki......
tulia uone soka Simba mna cha kujifunza kutoka Jangwani
usichukie lkn
 
Huyu dogo Kibabage sina imani naye anapenda kucheza kifaza sana na wakati bado mdogo anatakiwa achangamke
 
Back
Top Bottom