FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Yanga tunachokikosa kwa sasa ni mshambuliaji tu wa kati wa kiwango cha Fiston Kalala Mayele. Dogo Mzize anakuja vizuri, ila bado anahitaji muda wa kufikia kiwango cha yule mwamba.
 
Back
Top Bottom