Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Darling, nilikuwa uwanjani na sikwenda na simu hata.
Pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darling, nilikuwa uwanjani na sikwenda na simu hata.
Kauli zimeanza changeTaarifa za asec mimosas unazo
Hongera kwa kutuwakilisha vyema Sweets,😍Darling, nilikuwa uwanjani na sikwenda na simu hata.
Pole.
Ulifikiri unacheza shirikisho?Leo nitamfundisha yule dunduka namna ya kumfunga mwarabu Yanga daima mbele.
Ushindwe kuifunga CR leo muifunge Al Ahly?Al Ahly hawataamini macho yao kesho
Al Ahly huwa mnaichukulia ni timu ndogo sana? Ushindwe kuifunga belozuidad uje ushiinde Al Ahly?Tunashinda hii
😁😀😀😀😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Leo nitamfundisha yule dunduka namna ya kumfunga mwarabu Yanga daima mbele.
Kwani wewe ulimfunga sasaAl Ahly huwa mnaichukulia ni timu ndogo sana? Ushindwe kuifunga belozuidad uje ushiinde Al Ahly?
Meshinda sasa? Bado mechi ya marudiano Misri. Ni kisanga😁😁😁😁
Jana nilikuwa naawangalia tu mnavyoichukulia Al Ahly kirahisi. Jana si milsema mtaifundisha Simba kucheza mpira. Ilikuwaje?Kwani wewe ulimfunga sasa
Si mlikuwa mnawacheka simba kutoa droo na al ahly,Kwani wewe ulimfunga sasa
Si mlikuwa mnawacheka simba kutoa droo na al ahly,
Mmeona jana kilichotaka kuwakuta?tena mlivaa misuli.
Mwarabu unamvalia msuli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sema wao walishasema malengo yao ni kuingia tu makundi basi.chq ajabu sasa wanamcheka simba kuishia robo fainali. Sijui kwanjni manara bado hajajengewa sanamKwa sifa hizi wangeifunga Al Ahly kuna watu wangefukuzwa kazi Al Ahly maana ulikuwa ni udhalilishaji
- Watu wametumia miaka 25 kuingia makundi ya champion league
- Mechi ya kwanza wamepigwa 3 - 0
Walisahau kuwa wanacheza na bingwa mtetezi wa Champion League, wakajua wapo shirikisho. Bado mechi ya marudiano, tuone atavunja rekodi ya Simba.
Ndiyo ujue Yanga ni timu changa sana kisoka, pamoja na matambo yote malengo yao waishie makundi. Walipochapisha mabango ya 5-1 nilijua hii timu bado changa sana kisoka.Sema wao walishasema malengo yao ni kuingia tu makundi basi.chq ajabu sasa wanamcheka simba kuishia robo fainali. Sijui kwanjni manara bado hajajengewa sanam
Tena 2 bilaWydad tutampigaaa atake asitakee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona al ahly hawajashinda?, Yanga ana nafasi kubwa ya kutoboa makundiJana nilikuwa naawangalia tu mnavyoichukulia Al Ahly kirahisi. Jana si milsema mtaifundisha Simba kucheza mpira. Ilikuwaje?
Bado mechi ya marudiano ndiyo utajua wale jamaa hawana mchezo.
1. Angalia usajili wa Al Ahly
2. Imecheza Champion League mara ngapi
3. Angalia sifa ya mchezaji mmoja mmoja wa Al Ahly
4. Imechukua kombe la Champion League mara ngapi?
Shida ya Yanga huwa inajilinganisha na Simba. Aly Kamwe alisema ataifundisha Simba kutumia mechi za nyumbani. Baada ya kutoka draw wanaanza kujilinganisha na Simba
Kwani simba na yanga nani ni mkubwa kwa mwenzieJana nilikuwa naawangalia tu mnavyoichukulia Al Ahly kirahisi. Jana si milsema mtaifundisha Simba kucheza mpira. Ilikuwaje?
Bado mechi ya marudiano ndiyo utajua wale jamaa hawana mchezo.
1. Angalia usajili wa Al Ahly
2. Imecheza Champion League mara ngapi
3. Angalia sifa ya mchezaji mmoja mmoja wa Al Ahly
4. Imechukua kombe la Champion League mara ngapi?
Shida ya Yanga huwa inajilinganisha na Simba. Aly Kamwe alisema ataifundisha Simba kutumia mechi za nyumbani. Baada ya kutoka draw wanaanza kujilinganisha na Simba