FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Simba nafasi ya tatu,haya nyie mpo nafasi ya ngapi?
Huko pagumu,mwenzio akiishia robo fainali usimcheke.haya juzi hapo mlitucheka simba kutoa suluhu na al ahly.jana tia maji tia mkachoma.yule mnayesifia max kapotezwaaa vibayaa
ACHA kujipa umuhimu sasa unajisifia nafasi ya 3 wewe kweli I'd na jina lako viko sawa
 

Attachments

  • Screenshot_20231203_193744_Sofascore.jpg
    Screenshot_20231203_193744_Sofascore.jpg
    60.7 KB · Views: 1
Makolo sijui yapo hali gani sasa kama nayaona vile jinsi yalivyoumbuka huku timu lao halina matumaini mechi walipania Yanga ifungwe wapate kujipoza machungu🤣🤣🤣🤣🤣😂
Poleni uto kushikilia mkia na itakuwa hivyo mwanzo mwisho!! Pambaneni walau mfikishe pointi 2 baada ya mechi 6!! Mnyama anazo tayari!!
 
Mbona walishajiandaa zamani!! Saizi ya lengo lao la kuingia makundi walishalifikia tayari!! Kwao kushika mkia walishazoea na si tatizo kwao!! Kwa kuingia makundi watajipongeza kwa kunywa supu!!
 
Jumamosi nilikuwa na presha sio kidogooo nikasema nikiingia jf kwa kichambo cha 5imba nahisi ntakufwaaa nikatuliza mshono offline at least Mungu si Makolo kimoja cha kufutia machozi sio mbaya!

Tuna imani na🙏 💚💪
😂😂
Eti Mungu siyo makolo..!!
Na walijua kutusimanga hatari, ni vile tumeumbiwa mioyo yenye ujasiri..!!
 
Aziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
Mkuu mbona bado hujasema! Unataka Aziz akimbie,akabe,apige mashuti yote haya afanye yeye,muonee huruma ni binadamu pia.
Yanga bora imeshangilia draw ya nyumbani.
 
Mkuu mbona bado hujasema! Unataka Aziz akimbie,akabe,apige mashuti yote haya afanye yeye,muonee huruma ni binadamu pia.
Yanga bora imeshangilia draw ya nyumbani.
Angalia na aina ya timu. Mbona wewe ulishangilia droo na ASEC ambao kwa mjibu wa CAF unawazidi ubora mbali sana.
Kwanza Ahly ya CL ni bora kuliko ile ya AFL
 
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yanga kuingia makundi Champion League imetumia miaka 25. Sasa unataka kumfundisha Simba?
Ushindwe kumfunga Belozuidad uje umfunge Al Ahly?
Mechi ya marudiano na Al Ahly lazima mfe 3-0
Kwa hiyo nyie kushindwa kumfunga Galaxy ndio tuseme mnasubiri kipigo kutoka kwa Wydad?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom