Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kwani wewe ni WA kwanza kwenye kundi lako mtaniSi mlikuwa mnawacheka simba kutoa droo na al ahly,
Mmeona jana kilichotaka kuwakuta?tena mlivaa misuli.
Mwarabu unamvalia msuli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Simba nafasi ya tatu,haya nyie mpo nafasi ya ngapi?Kwani wewe ni WA kwanza kwenye kundi lako mtani
ACHA kujipa umuhimu sasa unajisifia nafasi ya 3 wewe kweli I'd na jina lako viko sawaSimba nafasi ya tatu,haya nyie mpo nafasi ya ngapi?
Huko pagumu,mwenzio akiishia robo fainali usimcheke.haya juzi hapo mlitucheka simba kutoa suluhu na al ahly.jana tia maji tia mkachoma.yule mnayesifia max kapotezwaaa vibayaa
Kwani Gamond anasemaje?Al Ahly huwa mnaichukulia ni timu ndogo sana? Ushindwe kuifunga belozuidad uje ushiinde Al Ahly?
Meshinda sasa? Bado mechi ya marudiano Misri. Ni kisanga😁😁😁😁
Na wewe jisifie nafasi ya 4ACHA kujipa umuhimu sasa unajisifia nafasi ya 3 wewe kweli I'd na jina lako viko sawa
Je huu ni uungwana?🤣🤣🤣mwishoni kabisaaaACHA kujipa umuhimu sasa unajisifia nafasi ya 3 wewe kweli I'd na jina lako viko sawa
Lol! Utanionea tu b..., mi nilichofanya ni kumshauri tu aamke maana niliona anasound kama yuko usingizini.Hizo hesabu zikitimia utakoma, nitakukumbusha kila mahali...
Ndiyo nimeyatimba? LolB... Kumbe haya ndio mambo yako eeeh? Sawa
Ngoja, nitakufurahisha.
Lawama hazitopokelewa wala kusikilizwa, umeyaanza mwenyewe.
Utajua wakati ukifika b…Ndiyo nimeyatimba? Lol
Ova
Jina lako liko sahihi na unachoandikaJe huu ni uungwana?🤣🤣🤣mwishoni kabisaaa
Poleni uto kushikilia mkia na itakuwa hivyo mwanzo mwisho!! Pambaneni walau mfikishe pointi 2 baada ya mechi 6!! Mnyama anazo tayari!!Makolo sijui yapo hali gani sasa kama nayaona vile jinsi yalivyoumbuka huku timu lao halina matumaini mechi walipania Yanga ifungwe wapate kujipoza machungu🤣🤣🤣🤣🤣😂
Jumamosi nilikuwa na presha sio kidogooo nikasema nikiingia jf kwa kichambo cha 5imba nahisi ntakufwaaa nikatuliza mshono offline at least Mungu si Makolo kimoja cha kufutia machozi sio mbaya!
😂😂Jumamosi nilikuwa na presha sio kidogooo nikasema nikiingia jf kwa kichambo cha 5imba nahisi ntakufwaaa nikatuliza mshono offline at least Mungu si Makolo kimoja cha kufutia machozi sio mbaya!
Tuna imani na🙏 💚💪
Mkuu mbona bado hujasema! Unataka Aziz akimbie,akabe,apige mashuti yote haya afanye yeye,muonee huruma ni binadamu pia.Aziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
Angalia na aina ya timu. Mbona wewe ulishangilia droo na ASEC ambao kwa mjibu wa CAF unawazidi ubora mbali sana.Mkuu mbona bado hujasema! Unataka Aziz akimbie,akabe,apige mashuti yote haya afanye yeye,muonee huruma ni binadamu pia.
Yanga bora imeshangilia draw ya nyumbani.
Kwa hiyo nyie kushindwa kumfunga Galaxy ndio tuseme mnasubiri kipigo kutoka kwa Wydad?[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yanga kuingia makundi Champion League imetumia miaka 25. Sasa unataka kumfundisha Simba?
Ushindwe kumfunga Belozuidad uje umfunge Al Ahly?
Mechi ya marudiano na Al Ahly lazima mfe 3-0