Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mungu kwa ajili ya Al Ahl
Hiyo ni sehemu ya kujifunza pia, umakini ni muhimu sana hii michuano.Daaahh tumepigwa kizembe sana.
hahahahaha
Wanasema Wana kikosi kipana eti halafu Nzengeli ni kama MbappeWanaburuza mkia, wakiiambiwa CAFL ni ngumu wawe wanauliza kwa watangulizi wao
Nyuzi yoyote ikifunguliwa Katika jukwaa Lolote ndani ya JF , ni kwa wote Wenye Uwezo Wa Kuchangia...Nani wa kunisamehe humu? Matusi pelekeni kwenye nyuzi zenu huko.
Hivi tungeenda kuwapokea ingekuwajeJamaa wamekua wakali leo hahaha
😀Utooooo hahahahaha waendeleze kipaji cha kupika supu hii ligi ya wanaume
Hafadhali tumesawazisha hawa jamaa sio wagumu ila tulichokosea ni kucheza kwa tempa wanayo taka wao.Hiyo ni sehemu ya kujifunza pia, umakini ni muhimu sana hii michuano.
ImerudiPiga yanga aooooooo