FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

.
JamiiForums2071048328.jpg
 
Yanga wamewapiga dobo mara mbili Ahl
 
hahahahaha

Nilikuwa namaanisha huyu anayeliwa kichwa muda huu na ambaye mechi mbili za klabu bingwa bado ana point 0.
Ngoma za kiume kama hizi haziwezi huyu, yeye anaziweza hizi za kienyeji za kwetu!
 
Wala matapu tapu wa jangwani mpo chuma cha kiaarabu mrichp kua mnacheka tukiwafunga ama kudraw nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa nyinyi wafungeni sasa
 
Nani wa kunisamehe humu? Matusi pelekeni kwenye nyuzi zenu huko.
Nyuzi yoyote ikifunguliwa Katika jukwaa Lolote ndani ya JF , ni kwa wote Wenye Uwezo Wa Kuchangia...

Sasa huko Utopolo akikujibu Mzee Jakaya au Mzee Sande Manara Basi ridhika ....Mliobaki Wote huko Yanga ni Majuha na hii Sio Kauli Yangu ni Mzungu Pori.
 
Back
Top Bottom