Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Ukishindwa kumfunga yanga kipindi cha kwanza andika maumivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast hapo mtanivunja moyo, lakini kwa haka kamoja bado saana[emoji2957].Bado 2 nilisema 3
Umeona tayari Mayele kasharekebishaaaaaaaTubet mrembo
Na hayo ndio matokeo ya leoKazeni misuli hyo watawafunga mtatoka 1-1
Unyama mwing sana kutoka kwa Fiston[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji23]
La pili hilo hapo Kona baoAtleast hapo mtanivunja moyo, lakini kwa haka kamoja bado saana[emoji2957].
😃😃😃😃 Tayari imooooo.. Mnaisikilizia sasaaa ilivyopitaLeo ndo unaona haya ww tulie shika mbupu hizo mpate hata moja
Endeleeni kuziminyaa😃😃😃😃 Tayari imooooo.. Mnaisikilizia sasaaa ilivyopita
Goal kick Fistun MayeleHamfungii lingine nawaambia
Mmefufuka sasaGari langu ndio lawasili hapa kwenye uzi.
Huwezi kua na akili timamu ukaacha kuishabikia Yanga💚💚
Kweli fistun hahahaahahGoal kick Fistun Mayele