FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Yanga waoogaa hawajiamini kabisa yani uzi wao mpk wafunge kimoko ndo wakujeee
 
TK Master anajiandaa kuingia...tutarajie mashambulizi yenye kasi zaidi kutokea pembeni mwa uwanja
 
Yanga msijione mmeshashinda safari bado ndefu sana
 
At least mmeondoa aibu ya kufungwa kwenu. Naona huko bi Ashura amekua mwekundu kama pilipili
 
Najua hata nyinyi mnajua kabisa kuwa goli moja sio kitu, ndiomaana bado hamjafurika humu ndani.

Mtulie hivyohivyo..[emoji1].
 
Back
Top Bottom