Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiooooo [emoji1787][emoji1787] tena kindaki ndakiRhaenyra kumbe nawe ni mwananchi[emoji172]
Ndio natumia infinix ila tayari nimesha kuwekeaa kimoja hapa bwmAcha Kutumia Infinix Watashinda
Huyo kabakiza mbio tu sikuhizi, me huwa sioni tofauti ya Kisinda na Kibu.TK Master anajiandaa kuingia...tutarajie mashambulizi yenye kasi zaidi kutokea pembeni mwa uwanja
Uko wapi mkp sasYanga ikishinda nimekaa pale
Mtaniiiii upo apo? Mkeka usha chanikaNiliona umejificha mtani
Sio kubwa ni uzalendo tu ndio unaotufanya tuishangilie na ndio maana niliumia sana Geita alipotolewa
Safi watu wanaojitambua wote wanashabikia YangaNdiooooo [emoji1787][emoji1787] tena kindaki ndaki
Masikini yamewakutaYanga msijione mmeshashinda safari bado ndefu sana