FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Yani nasema hiviiii Mwisho goli hili mojaaa
 
Yanga wanapaswa kuimaliza hii mechi hapa hapa kwa mkapa

Ushindi wa goli 1 kwa bila tena ukiwa nyumbani ni very risk, wajitahidi walau waongeze bao 1 lingine
 
Back
Top Bottom