Lingine linakuja sio mdaa,[emoji23]Endeleeni kuziminyaa
Match bado mbichimachafuko jr umejificha wapi mwanga wewe?
Goal 3 leoHapa ni mojaa tuu hakuna zaidi ya hapo
Niliona umejificha mtaniMatch bado mbichi
Mlipotea humuKwani nilikua nimekufa we kolokolo.
Yanga ushindi sio wa kubahatisha
Fistun Mayele atawaongeza kingine soon subiri uoneYanga waoogaa hawajiamini kabisa yani uzi wao mpk wafunge kimoko ndo wakujeee
Goli linasawazishwa mda si mrefu trust me mtaniNiliona umejificha mtani