Mungu ninaemuamini mm hawezi kuruhusu maombi aina HayaMungu tunaomba usikie maombi yetu hawa chawa wa GSM leo waoge zakutosha na uchawi wao usifanye kazi leo amin
huo mwenge katikati ya logo yao ni UCHAWI watavuna wanayopanda.Kila kitu kinaanzia rohoni ndipo hudhihirika kwenye ulimwengu wa damu na nyama. Yanga walitoe hilo limwenge kwenye nembo yao.
Mwenge pia una laana, umelaanika. Soma Isaya 50:11
Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.
Mungu wa chato labdaMungu tunaomba usikie maombi yetu hawa chawa wa GSM leo waoge zakutosha na uchawi wao usifanye kazi leo amin
Yamebaki masaa ma3 nchi iingie kwenye wingu la aibuIle kampeni ya kuwapiga kama ngoma leo inaendelea..
Kila la kheri Machampion wa nchi..
Tutawapiga kila atayekuja mbele.
Haya bi mdashi tumekupata.Ushindi wa Yanga SC leo ni Sare ( ya Magoli ) au ya Suluhu ( isiyo ya Magoli ) au Kufungwa 1 - 0 au 2 - 0, ila Yanga SC yako haishindi / hamshindi leo.
JWANENG GALAXY au sioSafari ya kwenda Shirikisho inaanzia hapa hivi
Bila picha hautaeleweka.Uwanja Umejaa Tele Hakuna Eneo La Kupita
Pictures Wakati Wanacheza SasaBila picha hautaeleweka.
Unashauri kati wakae nani na nani?Fei toto na Aucho au Fei toto na Sure boy au Aucho na sure boy pale kati wasianze pamoja. Wakianza tu mmepigwa au sare. Mtanishukuru baadae Kwa huu ushauri.
Inatakiwa awepo mbeba maji mmoja
Kama nani vile angefaa zaidiInatakiwa awepo mbeba maji mmoja
Bangala ndio huwa anafaa ila mnamtumia kwenye back sijui Leo mna plan gan