FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Mungu tunaomba usikie maombi yetu hawa chawa wa GSM leo waoge zakutosha na uchawi wao usifanye kazi leo amin
 
Kila kitu kinaanzia rohoni ndipo hudhihirika kwenye ulimwengu wa damu na nyama. Yanga walitoe hilo limwenge kwenye nembo yao.
Mwenge pia una laana, umelaanika. Soma Isaya 50:11

Isaya 50:11
[11]Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.
huo mwenge katikati ya logo yao ni UCHAWI watavuna wanayopanda.
 
Fei toto na Aucho au Fei toto na Sure boy au Aucho na sure boy pale kati wasianze pamoja. Wakianza tu mmepigwa au sare. Mtanishukuru baadae Kwa huu ushauri.
 
Back
Top Bottom