Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoMtaniiiii upo apo? Mkeka usha chanika
Oh shit how do they let this shit happen?Al Hilal wanapata goli
Endelea kubisha, ila jua Job katoa assistKwenye redio
Mayele wa yopeGoool mayeleeee
Sub ya Farid ndio inaweza kuleta maana zaidi sioni mwingine hapoHuyo kabakiza mbio tu sikuhizi, me huwa sioni tofauti ya Kisinda na Kibu.
Wanakimbia bila kujua wapeleke wapo mipira kam kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa kabla hajafa.
ujinga wa ligi ya mabigwa kuruhusu goli nyumbaniGooooooooal
Umepatia...! Amepigwa goli matata kama ngoma vile yaani.Hivi Diarra amelogwa au ana tatizo gani mbona anakuwa kama hayupo uwanjani. Hana u sharp katika maamuzi
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona kinyonge sana?[emoji2957]Al Hilal wanapata goli