New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
😬😬😬😬Hawa tutawapiga kama ngoma kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😬😬😬😬Hawa tutawapiga kama ngoma kwao
Yani kwa boli lile ulilopigiwa na zile kosa kosa bado tu una hope kupata matokeo tena away?Huyu al hilal hana pakutokea lazima afe uko uko kwao
Sio Ifefu mbona hadi mechi za kimataifa tena za CAF wameifunga timu tishio goli 9-0?Yanga wakiwafunga Ihefu wanajiona wana booonge la timu,Loh,,!
Ata wangekuww na roho nzuri isingezuia nyie ku saremashabiki wa simba hawana uzalendo kabisa roho mbaya
It is that, bantu lady 😊Mpira una matokeo matatu. Kufungwa, kushinda na sare, tumetoka sare. Yanga imejitahidi, tumewasoma vizuri, tumeanza kupata goli na kukosa pia. Tumezuia magoli, asante kipa wetu.
Yanga hii hii mnayoidharau leo, huwa inawalaza na viatu. Kama Yanga ni mbovu, basi makolo ni wabovu zaidi yaaa... huwa mnashinda kibahati bahati tu huko...
Sudan tunakuja...
Karibu ligi ya mqbingwa Afrika,Mpira una matokeo matatu. Kufungwa, kushinda na sare, tumetoka sare. Yanga imejitahidi, tumewasoma vizuri, tumeanza kupata goli na kukosa pia. Tumezuia magoli, asante kipa wetu.
Yanga hii hii mnayoidharau leo, huwa inawalaza na viatu. Kama Yanga ni mbovu, basi makolo ni wabovu zaidi yaaa... huwa mnashinda kibahati bahati tu huko...
Sudan tunakuja...
Yap leo nimekuwa mzalendo ila kale kautani ketu nakenyewe kapo kimtindoMkuu, Leo umekua mzalendo
Azam tu iwagongeKule watapangwa na Berkane au Pyramids
Yes, I am New CityIt is that, bantu lady 😊
Atalala si chini ya magoli mawili..!Mnaosema al hilal hata akitoa sare ya 0 kwa 0 anapita hivi ni soka la leo hamjaliona?
Oi kule mtani anaenda kulala nyingi mapema sana. Tumeona wote kipindi cha pili kilivyokuwa. Tuache kudanganyana.
Mabingwa gani? Makolo? Please!!!Karibu ligi ya mqbingwa Afrika,
Huku ndio mabingwa wa kweli hucheza
Huku hakuna pira bahasha Wala pira mganga
Hata mkienda shirikisho baada ya kipigo Cha Sudan, tutawapangia Pyramid ili tucheke vizuri
Ni wenye matatizo ya akili na watoto peke yao ndio hudhani wao wanastahili jambo fulani na wengine hawastahili.Moderator mnge switch off hicho kitaa chekundu cha live ku save energy ili kesho kitumike kikiwa hakina stress kuepusha gundu
Yanga nao ni wakuwawekea icon ya live?
Wewe si uliuliwa na Jwaneng hapo hapo, au unajisahaulishaAngalizo kauli mbiu ya kwamkapa hatoki mtu ni kwaajili ya Simba tu.