FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Kama Yanga walikuwa wanafikiria kuwachangisha mashabiki kufidia ile penati waliyopigwa na CAS basi nawapa ushauri huu

Watafute mechi na Ihefu pale kwa mkapa, waingize kikosi hiki hiki kilicho cheza leo tena wachezaji wawe kwenye position hizi hizi walizocheza leo

Natabiri hattrick, mwamba lazima ateteme

Hiyo itakuwa ni mechi ya 45 bila kupoteza

Haraka haraka anzisheni kampeni ya kuchangia hiyo penati mliyopigwa

Ikifika siku ya marudiano na Al Hilal sitisheni hilo zoezi kwani walau mtakuwa mmepata hata milion 5 ambayo mtakuwa mmepunguza kiasi fulani kwenye ile milion 340+

Matanikumbuka kauli yangu
 
Mpira una matokeo matatu. Kufungwa, kushinda na sare, tumetoka sare. Yanga imejitahidi, tumewasoma vizuri, tumeanza kupata goli na kukosa pia. Tumezuia magoli, asante kipa wetu.
Yanga hii hii mnayoidharau leo, huwa inawalaza na viatu. Kama Yanga ni mbovu, basi makolo ni wabovu zaidi yaaa... huwa mnashinda kibahati bahati tu huko...
Sudan tunakuja...
It is that, bantu lady 😊
 
Karibu ligi ya mqbingwa Afrika,
Huku ndio mabingwa wa kweli hucheza
Huku hakuna pira bahasha Wala pira mganga

Hata mkienda shirikisho baada ya kipigo Cha Sudan, tutawapangia Pyramid ili tucheke vizuri
 
Mnaosema al hilal hata akitoa sare ya 0 kwa 0 anapita hivi ni soka la leo hamjaliona?

Oi kule mtani anaenda kulala nyingi mapema sana. Tumeona wote kipindi cha pili kilivyokuwa. Tuache kudanganyana.
Atalala si chini ya magoli mawili..!
 
Hodi humu wakuu, vipi Kuna habari gani huko mjini mana nasikia sijui iwe mvua sijui jua lakini nashangaa kelele haziishi na hali ya hewa ni shwari kabisa

Hebu nijuzeni wapendwa. 😂😂
 
Karibu ligi ya mqbingwa Afrika,
Huku ndio mabingwa wa kweli hucheza
Huku hakuna pira bahasha Wala pira mganga

Hata mkienda shirikisho baada ya kipigo Cha Sudan, tutawapangia Pyramid ili tucheke vizuri
Mabingwa gani? Makolo? Please!!!
 
.
IMG_20221008_180819.jpg
 
Back
Top Bottom