FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hili vibe ni noma!! Dah! Bahati mbaya Boss amenikatalia ruhusa! Naingia lindo saa 12 hii!! ephen_ mwakani uniombee nipate ruhusa hapa ofisini. 😑
Muda huu nimebeba kirungu changu, huku nikiwa nina hasira kali balaa. 😩
Babu pole! Ungeenda uwanjani ungeona pisi kama zotee ungejuta kuzaliwa mwaka 60
 
Wananchi kwenye ubora wetu, kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika.

Watu wengi Sana wapo Taifa na jezi Mpya tofauti na Miaka mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…