ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Babu pole! Ungeenda uwanjani ungeona pisi kama zotee ungejuta kuzaliwa mwaka 60Hili vibe ni noma!! Dah! Bahati mbaya Boss amenikatalia ruhusa! Naingia lindo saa 12 hii!! ephen_ mwakani uniombee nipate ruhusa hapa ofisini. 😡
Muda huu nimebeba kirungu changu, huku nikiwa nina hasira kali balaa. 😩