FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hili vibe ni noma!! Dah! Bahati mbaya Boss amenikatalia ruhusa! Naingia lindo saa 12 hii!! ephen_ mwakani uniombee nipate ruhusa hapa ofisini. 😡
Muda huu nimebeba kirungu changu, huku nikiwa nina hasira kali balaa. 😩
Babu pole! Ungeenda uwanjani ungeona pisi kama zotee ungejuta kuzaliwa mwaka 60
 
Aweeeee
20240804_175253.jpg
 
Wananchi kwenye ubora wetu, kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika.

Watu wengi Sana wapo Taifa na jezi Mpya tofauti na Miaka mingine.
 
Back
Top Bottom