FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Mashabiki hawaonekani tena kuwa na muitikio kwasababu kila wakiangalia saa zao na ratiba zinavyoenda uwanjani hapo hewaelewi kitu, wamehamaki.

Hapo kwenye stage kila mtu anataka kuongea (Harmo na Rayvanny), hakuna mipangilio badala ya mziki wameamua kufanya mahubiri na uchawa.
 
Mbona Hawa wasanii wote hovyo sana. Wote washa tochi hata kama Kuna mwanga, mikono juu, peperusha bendera , kushoto kulia. Wanapiga makelele tuu hawaimbi chochote
Aly B alifanya kitu ya maan sana
 
Ila watu bwana mama Jana si kapiga simu uwanjani,hiyo sio siasaa?
 
Afu uongozi umeshindwa ku balance ratiba kuendana na hali za wachezaji wake.

Muda huu wale wazee watakuwa wanasinzia then uwakurupue kwenda kucheza haitakuwa fair.
 
Hawa wanaoitwa wasanii ni ujinga mtupu...Harmonize, Rayvnny na Mario naona wanapiga kelele tu huku wamelipwa pesa ndefu
 
CCM ndiyo wamewalipa wasanii.

Yanga wametoa platform tu .

Za ndaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…