Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Kaanza kumuombea kura MpangoHamonize mbele nguo yake imechorwa nini?
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaanza kumuombea kura MpangoHamonize mbele nguo yake imechorwa nini?
🤣🤣🤣
Aly B alifanya kitu ya maan sanaMbona Hawa wasanii wote hovyo sana. Wote washa tochi hata kama Kuna mwanga, mikono juu, peperusha bendera , kushoto kulia. Wanapiga makelele tuu hawaimbi chochote
Ukumbavu tuKaanza kumuombea kura Mpango
Labda wa mifugoMimi daktari
Best expertiseLabda wa mifugo
Afu uongozi umeshindwa ku balance ratiba kuendana na hali za wachezaji wake.Mashabiki hawaonekani tena kuwa na muitikio kwasababu kila wakiangalia saa zao na ratiba zinavyoenda uwanjani hapo hewaelewi kitu, wamehamaki.
Hapo kwenye stage kila mtu anataka kuongea (Harmo na Rayvanny), hakuna mipangilio badala ya mziki wameamua kufanya mahubiri na uchawa.
Namzingua! Napenda kumchokozaBest expertise
Sie Ndio tunapendsaaaaa😂😂Hawa wanaoitwa wasanii ni ujinga mtupu...Harmonize, Rayvnny na Mario naona wanapiga kelele tu huku wamelipwa pesa ndefu
🤣🤣 basi sawa!!Namzingua! Napenda kumchokoza