FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja

Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.

Mtu huyo anaweza asiamini.

Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
Kweli kbs, ahmed amewaacha mbali.
 
Mtoto wa Manara hapo jukwaani anafanya nini?🤔
Manara ana mambo ya kiwaki
 
Comedy imeingia kwenye soccer wakina mkojani watafute shuhuli nyingine ya kuwalisha

Eti huyu mzee mwezi wa 11 anatimiza miaka 25
1722790317632.png
 
Back
Top Bottom