Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Huyu hoyeee yule hoyeee siasa zinatuharibia burudani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huyo mtoto unamuona kweli? Ni aibu watu wapo jukwaani halafu camera inamuonyesha mtoto anachezea simu na anaongea na simuNdugu yangu hayo ni mambo ya wadhifa. Muhimu na sio mbaya kwa watu wa familia kushuhudia na kuwa karibu na matukio kama haya. Kwako inaweza kuwa kama haina maana ila kwa baba na mtoto au na mama ina maana kubwa sana.
Kwangu sioni shida muhimu inatengenezwa bond kati ya mtoto na kazi ya baba
Amefanya ujinga.Mjinga mjinga sana Manara
Wanatuonea sanaSiasa🚮🚮🚮
Match saa mbili na nusuNmechekaaa leo mechi hamnaa
Acha ku over react bhana. Hayo mambo ya kawaida kabisa sijui kwa nini hii kitu inakuumaWewe huyo mtoto unamuona kweli? Ni aibu watu wapo jukwaani halafu camera inamuonyesha mtoto anachezea simu na anaongea na simu
Kwanini asingekaa kwa chini ambapo camera haimuonyeshi anafanya hayo mambo ya aibu?
Hili ni tamasha kubwa watu wamelipa hela zao upuuzi ungeekwa pembeni
Hili ni tamasha baya kuliko yote, baadhi ya watu wamelichafua ni kama vile Yanga hawajajipanga.
Subiri saa 4 utakua ipi kubwaSimba na red arrow ipi timu kubwa?
Mitatu tenaaaaDiarra Anatambulishwa uwanjani na Rais wa Yanga