FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Ndugu yangu hayo ni mambo ya wadhifa. Muhimu na sio mbaya kwa watu wa familia kushuhudia na kuwa karibu na matukio kama haya. Kwako inaweza kuwa kama haina maana ila kwa baba na mtoto au na mama ina maana kubwa sana.

Kwangu sioni shida muhimu inatengenezwa bond kati ya mtoto na kazi ya baba
Wewe huyo mtoto unamuona kweli? Ni aibu watu wapo jukwaani halafu camera inamuonyesha mtoto anachezea simu na anaongea na simu
Kwanini asingekaa kwa chini ambapo camera haimuonyeshi anafanya hayo mambo ya aibu?

Hili ni tamasha kubwa watu wamelipa hela zao upuuzi ungeekwa pembeni

Hili ni tamasha baya kuliko yote, baadhi ya watu wamelichafua ni kama vile Yanga hawajajipanga.
 
Philip Mpango Makamu wa Rais wa JMT ameamua kushuka jukwaa kuu
 
Wewe huyo mtoto unamuona kweli? Ni aibu watu wapo jukwaani halafu camera inamuonyesha mtoto anachezea simu na anaongea na simu
Kwanini asingekaa kwa chini ambapo camera haimuonyeshi anafanya hayo mambo ya aibu?

Hili ni tamasha kubwa watu wamelipa hela zao upuuzi ungeekwa pembeni

Hili ni tamasha baya kuliko yote, baadhi ya watu wamelichafua ni kama vile Yanga hawajajipanga.
Acha ku over react bhana. Hayo mambo ya kawaida kabisa sijui kwa nini hii kitu inakuuma
 
Back
Top Bottom