Kweli kbs, ahmed amewaacha mbali.Hakiamungu yani mtu ambaye hakuangalia tamasha la jana ukimuambia kuwa hiki kinachofanywa na Kitenge, Manara, Mke wake, Na huyo kibonge (jina sjamjua) kilifanywa na mtu mmoja
Na zoezi hilo lilikamilishwa chini ya muda mfupi na kwa majira kama haya tayari tulikuwa tuko ukingoni kumaliza kipindi cha kwanza.
Mtu huyo anaweza asiamini.
Hapo ndio utaelewa ule usemi wa panya wengi hawachimbi shimo
Kwani amefanyaje?Mtoto wa Manara hapo jukwaani anafanya nini?🤔
Manara ana mambo ya kiwaki
Analeta giza! Shughuli kama hizi ziheshimiwe sio za kifamiliaKwani amefanyaje?
Manara anapenda kuforce mambo ..Mtoto wa Manara hapo jukwaani anafanya nini?🤔
Manara ana mambo ya kiwaki
Bora kukaa kimya kuliko kuleta ujuaji kwa kila jamboComedy imeingia kwenye soccer wakina mkojani watafute shuhuli nyingine ya kuwalisha
Eti ana mwezi wa 11 anatimiza miaka 25
View attachment 3061615
Anamkashifu Mo.Haji Manara kaanza kupoteza muda tena
Nimeona anataka kumtambulisha shangazi yake wa KibaigwaAnamkashifu Mo.