Wametudharau sanaSaa 09:04 mpira bado haujaanza 🤣🤣🤣
Nadhani ni kwa kuwa wanajua tajiri wao kaujaza uwanja, ndiyo maana hawajali ratiba ya wananchi wao
Kumbe wameshiba supu wanajiamulia tu mpirauanze saa ngapi.
Yes and good luck there's zero kolo [emoji3061][emoji81][emoji1787][emoji1787][emoji1787]115 people are here
Kipindi cha pili sahiviHuko kwenu mpira umeanza?
Ndo maana ya MABINGWA [emoji88]Wananchi wavumilivu sana hawajakimbia uwanjani
KAKOJOE ULALE Kolo [emoji12]Hili tamasha la kiboya Half time uwanja utabaki nusu.
Mie jamaa zangi wapo njian kuwahi kutazama kwa tv, wameamua watoke uwanjani.Wananchi wavumilivu sana hawajakimbia uwanjani
Acha uongo we koloMie jamaa zangi wapo njian kuwahi kutazama kwa tv, wameamua watoke uwanjani.
Mechi saa ngapi kaka?